Wednesday, 28 June 2023

Vikundu webuye Mashari Vyavuna kutoka kwa Mbunge


 Mbunge wa webuye Mashariki Martin Wanyonyi maarufu kama "investor anatarajiwa kupeana zaidi ya shilingi milioni Moja kwa vikundi vya akina mama na vijana.


Mbunge huyo ni WA kwanza kuanza kufadhili vikundi kama njia Moja ya kuinua wakaazi alivyoahidi wakati wa kampeni.

Wanyonyi amekuwa akiwapa tumaini wakaazi wa Webuye Mashariki kwamba atabadilisha eneo Hilo kwa muda wa miaka mitano

No comments:

Post a Comment