Thursday, 18 November 2021

End of slay queens' upkeep demands

 Hon. Peter Kaluma has presented the Bill, which the president has appended his signature. It's now law.


Summary of the law.


1. Both parents have equal responsibilities of bringing up children after separation, 50/50 basis. 


2. Men will automatically inherit their wife's estate without first proving to court they were dependants before the death of their wives. 


3. Secret lovers will have No legal rights to storm a funeral and demand to be involved. ONLY legal Wife and his children have rights to bury the Man. 


4. Ex Wife, Secret lover have no right to inherit of the man's estate upon death.


5. Procreation rights have been exclusively reserved for those with income, both women and Men. To have a child, each partner should be able to provide 50% upkeep of the child.


6. A child isn't prove of marriage, for anyone to be considered a wife, you must have marriage certificate.

Monday, 15 November 2021

MAMA ATUPA MTOTO KATIKA KITUO CHA MATATU WEBUYE


 Maafisa wa polisi mjiini Webuye wanamsaka mwanamke mmoja anayedaiwa kumuachia mwanamke mwingine mtoto wa miezi miwili katika kituo cha kibiashara cha Dina kabla yake kutoweka.

Kulingana na Mary Wanjala aliyeachiwa mtoto huyo anadai kuwa mwanamke huyo alishuka kwenye gari moja akiwa na mizigo kabla ya kumuomba amsaidie kumbebea mtoto huyo ili  akavukishe mizigo upande wa pili kabla yake kutoweka kwa kupanda gari la kuelekea mjini Kitale.


Kisa hicho kimekashifiwa na
wakaazi wa eneo hilo huku wakitaka vitengo vya usalama kuanzisha msako dhidi ya mwanamke huyo.


Hata hivyo wakaazi hao wamesema kuwa wataishi na mtoto huyo iwapo wazazi wake hawatapatikana.


MWISHO  

Saturday, 13 November 2021

MARTIN WANYONYI(INVESTOR)-NI MIMI PEKE YANGU NAWEZA KUMRIDHI SAMBU-

 

Mwakilishi wadi ya Ndivisi Martin Wanyonyi amesema kuwa yuko katika nafasi bora kumridhi Mbunge wa sasa wa Webuye Mashariki Alfred Sambu.

MARTIN WANYONYI (KATIKATI) AKIWA MAKUSELWA


Akizungumza  akiwa Makuselwa katika Hafla moja ya Mazishi Wanyonyi amesema  ataleta mageuzi makubwa eneobunge la Webuye Mashariki akiwataka wakaazi eneo hilo kumchagua katika uchaguzi mkuu ujao.

“kati ya hawa wanasiasa munaona wakitembea ni mimi pekee yangu niko na rekodi nzuri ya utendakazi, wengine wao wamejihusisha na ukora na ulaghai, sasa wanataka kutuletea ufisadi hapa Webuye East, wakija muwapuuzilie mbali,” wanyonyi alisema.

Wanyonyi ameongeza kuwa akiwa mbunge atahakikisha swala la kupeana basari, kandarasi na ajira litafanywa kwa usawa bila ufisadi.

“Mmejionea vile nimenyorosha wadi ya Ndivisi kwa miaka mitano pekee, mukinipa ubunge hamtajuta kunipa nafasi hiyo,” aliongeza.

 Ameongeza kuwa atapigania haki za wakaazi  likiwemo swala la mlima chetambe chetambe ili wakaaazi wasifurushe katika mashamba yao.

Upinzanimkali unatarajiwa katika uchaguzi mkuu ujao kiti cha webuye mashariki kikivutia wanasiasa wengi akiwemo Caro Buyela na Dkt Iyaya wanjala

Friday, 12 November 2021

RAILA AJITENGE NA VURUGU ZA NYANZA NA AHUBIRI AMANI KWA WAFUASI WAKE

Viongozi wa kidini kaunti ya Bungoma wanamtaka kinara wa chama cha ODM Raila Odinga kujitokeza na kuelimisha wakaazi wa Nyanza kuhusiana na umuhimu wa uwiano na utangamano msimu huu wa siasa.

Hii inakuja Siku chache  tu baada ya msafara wa naibu rais William Ruto kushambuliwa  kwa mawe na baadhi ya vijana katika eneo la Kondele kaunti ya Kisumu.

Maaskofu  hao  David Walukhu na Hamphry Wanyama  wamejitokeza na kukashifu vurugu hizo na kutaka viongozi wa kisiasa kukoma kuwatumia vijana vibaya wakisema kitendo hicho huenda kikarejesha taifa hili kwenye michafuko ya kisiasa.

“Itakuwa vyema ikiwa kinara wa ODM atajitokeza wazi na kujitenga na vurugu hizo na pia ashauri wakaazi wa Kisumu kudumisha amani jinsi tulivyo ona wakenya wengine walivyofanya katika mikutn tofauti ya kisiasa inayofanywa na wanasiasa nchini,” akofu Wanyama alisema.

BISHOP HAMPHRY WANYAMA-JESUS TO ALL NATIONS CHURCH


Askofu walukhu naye ametaka wanasiasa pia kuhubiri amani kabla ya uchaguzi mkuu ujao akisema mungu mwenyewe atachagua mtu atakayemridhi rais Uhuru Kenyatta.

“Hatutaki vurugu za mwaka wa 2007 zirejelewe tena, tunawaomba wanasiasa hasa walewanaowania uraise wahubiri amanai, hatutaruhusu mwenendo kama uliokuwa Kondele kuendelea nchini wakti ambapo makovu ya vurugu za mwaka wa 2007 hayajapona,” Akofu walukhu alisema.

BISHOP DAVID WALUKHU-MWENYEKITI WA WAHUBIRI WEBUYE WEST SUBCOUNTY


Viongozi hao hata hivyo wamewahimiza vijana kukoma kutumiwa vibaya na wanasiasa hao na badala yake kujihusisha na maswala muhimu ya taifa.





Wednesday, 10 November 2021

RUDISHENI MICHEZO NA LIKIZO SHULE ZISICHOMEKE- MAASKOFI WAOMBA SEEIKALI

Viongozi wa kidini katika kaunti ya Bungoma wamejitokeza wazi na kukashifu hatua ya wanafunzi wa shule za upili kuteketeza mabweni yao huku wakipendekeza adhabu ya kiboko kurejeshwa shuleni huku pia wakiwalaumu wazazi kwa kuwatelekeza wanao wakiwa nyumbani.

Wakizungumza na wanahabri mjini Webuye,viongozi hao wa kidini wakiongozwa na mwenyekiti wa ushirika wa Webuye Alex Masika na askofu wa kanisa la City harvest Emmanuel Wakhungila wamesema kuwa serikali inafaa kurejesha adhabu ya kiboko shuleni ili kuwaadhibu wanafunzi watundu na kuwataka wazazi kuwajibika katika malezi ya wanao kwa kuwapa muelekeo mwema.


"Watoto siku hizi wanatelekezwa sana, tunaomba adhabu ya viboko irejeshwe shuleni ili kurejesha nidhamu," Askofu Wakhungila alisema.


Viongozi hao wa kidini hata hivyo wanaitaka tume ya kuwaajiri walimu nchini TSC kusitisha uhamisho wa walimu wakuu wakidai kuwa huenda pia ndicho chanzo Cha visa vya moto shuleni na kutaka pia wizara ya elimu kurejesha michezo shuleni.

"Tumegundua kuwa kuhamisha walimu kiholela kunapelekea kuwepo na upinzani kutoka kwa jamii, walimu, wafanyikazi na wanafunzi wa shule wanakoenda walimu wakuu, kwa hivyo tunaomba TSC isitishe uhamisho wa walimu wakuu kiholela," Askofu Masika alikariri.


Askofu Alex Masika  na Emmanuel wakhungila

 Viongozi hao wa makanisa pia wanataka wizara ya elimu irudishe michezo shuleni wakiwataka walimu pia kuwapa wanafunzi muda wa kupumzika.
"Baada ya korona walimu wanafunza wanafunzi mfulilizo bila mapumziko, hili pia linaweka presha kwa watoto," Wakhungila alisisitiza.

 

Machacha Majembe aonya Ngome dhidi ya kuwania Useneta


 

Mwaniaji wa kiti Cha useneta kaunti ya Bungoma Machacha Majembe mapangulula amesema Yuko katika nafasi   Bora kumbandua seneta wa  kaunti ya Bungoma   Moses wetangula.

Majembe amepuuzilia mbali wale wanosema kuwa   naibu gavana Charlis Ngome awanie useneta kupitia chama Cha UDA akisema, Ngome hatawezana na Kiti hicho.

"Naambia Ngome hatawezana na hii kiti, ni Mimi tu nitambandua Wetangula na namuomba awe tayari kukubaliana na matokeo." Alisema.
 Majembe ameonyesha Ari yake ya kuwania kiti Cha useneta kupitia chama Cha UDA, ushindani mkali ukitarajiwa baina yake na seneta wa Sasa Moses Wetangula


Friday, 5 November 2021

Machakos first lady Lost Marital Claims by confessing in public

 Lawyer Donald Kipkorir claims Former Machakos First Lady Lillian Nganga received horrible legal advice, suggests that she lost all marital claims by declaring that she wasn't married to Governor Alfred Mutua.



"By publicly admitting she is not married to Gov. Alfred Mutua, Former First Lady Lilian Ng’ang’a forfeits all marital claims to property of Mutua & opens herself up to fraudulent claims as First Lady of Machakos County. Horrible legal advice."


"In Family Law, money & gifts given in contemplation of marriage are refundable in the event there is no marriage. The Former First Lady is obligated in law to refund the Governor. It is the law … Restitutio ad integrum," Kipkorir wrote.


_Photo: Lillian Nganga (Instagram) and Donald Kipkorir (Facebook)_

Wednesday, 3 November 2021

STEVE SONKO APIGA JEKI AKINANA MAMA NA MAKANISA MATULO

 Wajane 150 wamenufaika na msaada wa shilingi 40,000/= kutoka kwa mwaniaji wa kiti cha  mwakilishi wadi ya Matulo Steve Simiyu ili kufanikisha miradi katika kikundi Chao.

MWAKILISHI WA WAKFU WA STEV KAISER AKIZUNGUMZA NA WAJANE
Akizungumza baada ya kutoa msaada huo kwa kikundi Cha Balekhwa self Helf Group  Steve maarufu kama Sonko amesema kuwa huu ni mwanzo wa wajane kunufaika na uongozi wake pindi atakapochaguliwa kuwakilisha wadi ya Matulo katika  bunge la kaunti ya Bungoma.

"Kwa muda tumekosa mtetezi wa wajane Matulo, na huu ndio wakati nawaomba mnipe nafasi ya kuwakilisha ili mufurahie uongozi Bora", Simiyu alisisitiza.

Kikundi Cha Balekhwa self help group ni mojawapo ya vikundi vya wajane wadi ya Matulo vilivyonufaika na msaada wa wakfu wa  Steven Kaiser.


Msaada wa mabati kwa kanisa Matulo

 Kando na wajane kanisa la Hope of God Matulo pia limepokea Mabati 40 kutoko kwa wakfu wa Stev Kaiser ili kukamilisha ujenzinwake.

Kiongozi wa kanisa Hilo Daniel Amunaba anasema imechukua muda mrefu kukamilisha kanisa Hilo akisema msaada kutoka kwa wakfu huo ulio chini ya Steve kaiser Simiyu utawasaidia kukamilisha jengo Hilo.

Muhubiri huyo ameongeza kuwa juhudi zao za kupata ufadhili ziligonga mwamba Hadi walipomfikia Steve sonko.

MAPEMA KABLA KUPELEKA MABATI KANISANI

Akizungumza na mwandishi wa Makala haya Steve Songo amesema analenga kutoa ufadhili wake kwa makanisa, makundi ya vijana, akina mama na  Watu binafsi ili kuinua hali ya maisha ya wakaazi wa Matulo.






NAWEZA FANYA KAZI NA WANGAMATI TENA- MOSES WETANGULA



Kinara wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula amesema kuwa yuko tayari kufanya kazi na viongozi wote akiWemo gavana wa kaunti  ya Bungoma Wyclife Wangamati.
 Kulingana na Wetangula ikiwa kutakuwa na maelewano wanaweza kufany kazi tena.
"Hii siasa haina adui wa milele kunaweza kuwa na Handshake na tukaendelea pamoja tena" wetangula alisema
akizungumza akiwa katika stesheni moja ya radio Wetangula anasema kuwa siasa haina chuki na kunaweza kuwepo na uwiano iwapo watu wawili wamekosana.
Wetangula amesema haya licha yake kutangaza kuwa tamuunga Spika wa seneti Keneth Lusaka katika azma yake ya kuwa gavana wa kaunti ya Bungoma tena.

Ruto buys tea for 100,000/=


Deputy President, William Ruto, on Tuesday, November 2, surprised a couple in Nyamira County after he ate breakfast at their hotel .

In a video the DP was seen giving money to the Bottom up hotel owners, stating that it would help them improve the hotel which is made out of mud.

Ruto, who was accompanied by South Mugirango legislator, Silvanus Osoro, was seen asking his aide to hand over the money to him before presenting his gift to the surprised couple.

"I am going to help you with Ksh100,000 so that you can sort yourself out. Give me the money (Ruto to his aide) so that we can help these people grow their hotel," Ruto stated.

Wednesday, 21 July 2021

samson nabutola provides blankets and suits to village elders

 

Today Ndivisi Ward administrator Samson Nabutola has donated blankets and suits to the village elders in Maraka Location.




Speaking during the event at maraca Chiefs Office nabutola said that this is part of his program of giving Back to the community and   he will continue supporting the village elders .
Nabutola said he will continue supporting the village administrators and promised to buy them uniforms.

Tuesday, 30 March 2021

Luhya presidential candidates

 1. Nickson Kukuvo

2. Robert Juma 

3. Dr. Mukhisa kituyi













*Breaking News!!! DEPUTY PRESIDENT STEPS DOWN!

The Deputy President of the Republic of Kenya Dr William Samoei Ruto has finally stepped down. It has just been announced on KBC News, BBC news and other news channels.  Dr Ruto stepped down from his car in front of his Karen office to get into the office- such a hardworking man. Thank you for your attention*