Wednesday, 10 November 2021

Machacha Majembe aonya Ngome dhidi ya kuwania Useneta


 

Mwaniaji wa kiti Cha useneta kaunti ya Bungoma Machacha Majembe mapangulula amesema Yuko katika nafasi   Bora kumbandua seneta wa  kaunti ya Bungoma   Moses wetangula.

Majembe amepuuzilia mbali wale wanosema kuwa   naibu gavana Charlis Ngome awanie useneta kupitia chama Cha UDA akisema, Ngome hatawezana na Kiti hicho.

"Naambia Ngome hatawezana na hii kiti, ni Mimi tu nitambandua Wetangula na namuomba awe tayari kukubaliana na matokeo." Alisema.
 Majembe ameonyesha Ari yake ya kuwania kiti Cha useneta kupitia chama Cha UDA, ushindani mkali ukitarajiwa baina yake na seneta wa Sasa Moses Wetangula


No comments:

Post a Comment