Zaidi ya madiwani wastaafu kumi na tano kutoka kaunti ya wamejitokeza na kupongeza mageuzi yaliyofanywa katika chama cha Fordkenya hivi majuzi wakisema kuwa aliyekuwa kinara wa chama hicho Moses Wetangula amekuwa akiwakandamiza wanachama .
Wakizungumza na wanahabri mjini Webuye madiwani hao wastaafu wakiongozwa Patrick Manyonge na Ben Wambalaba wamesema kuwa hatua hiyo ya kubanduliwa kwa Wetangula ilistahili kwa kuwa kinara huyo amechangia viongozi wengi kugura chama hicho na kuondoka kwake huenda kukawarejesha viongozi hao.
No comments:
Post a Comment