Thursday, 11 June 2020

WEBUYE, BUKEMBE NA KANDUYI KATIKA HATARI YA KORONA

visa vya ugonjwa wa Covid 19 vinatarajiwa kuongezaka kaunti ya Bungoma kufuatia ongezeko la lori za kusafirisha mizigo na msongamano unaoshuhudiwa kila mara.
waziri wa afya Antony walela ansema kwa sasa madereava 13 wamepatikana kuwa na virusi vya Covid 19 huku wengi wao wakitangamana na wakaazi.


Maeneo yaliyo hatarani ni Webuye, Bukembe na kanduyi huku wakaazi wakionekana wakiuza bidhaa kama vile matunda na mahindi kwa madereva hayo bila kuzingatia mashariti ya kujizuia na maambukizi.

No comments:

Post a Comment