Kulingana na Karibu mkuu was chama cha Ford Kenya Eseli Simiyu ikiwa mapinduzi waliofanya yatagonga mwamba hawana jingine ila kuhamia chama cha ODM ambako wameahidiwa vyeo.
Mugawanyiko katika chama cha Ford Kenya huku mirengo ya Seneta was kaunti ya Bungoma Moses Wetangula na Wafula Wamunyinyi iking'ang'ania uongozi was chama.
No comments:
Post a Comment