Bi Sundukwa amesema amechukua hatua huyo kama njia mojawapo ya kuondoa umaskini katika jamii.
"Leo mi Musiambo na Kesho tutamsaidia mwingine, na niaomba wahisani tujitokeze na kisaidia watu wetu,' Bi Sundukwa alisema.
Bi Sundukwa pia ameahidi kutengeza Barbara za eneo la Bukunja na Nabwala ili kurahisisha uchukuzi akitoa with Kwa wakaazi kuwa watulivu anapofanya mipango ya kufanikisha miradi huyo.
Mwakilishi huyo was wadi ya Sitikho ameongeza kuwa mvua inapopunguka atakarabati barabara zote zilizoharibika kutokana na mvua mingi iliyokuwa ikinyesha.
Naye Askofu wa kanisa la Jesus generational Crusaders Alex Masika ametoa wito kwa viongozi wa kisiasa kusaida wakaazi walioathirika.
Askofu Masika pia ametoa wito kwa wazazi kuangalia wanao na kuhakikisha kuwa wako salama msimo huu wa likizo mrefu.
Askofu Masika ametoa Mabadi 15 na Simiti kwa waathiriwa watu.
No comments:
Post a Comment