Monday, 8 June 2020

Kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe avamiwa na kushambuliwa

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA Freeman Mbowe amevamiwa na kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati akirejea nyumbani kwake jijini dodoma.

Msemaji wa CHADEMA Tumaini Makene, amethibitisha tukio hilo ambalo lilitokea usiku wa Jumatatu. Akizungumza na BBC muda mfupi uliyopita Bwana Makene amesema Mbowe kwa sasa anapokea matibabu..

No comments:

Post a Comment